Wednesday, July 12, 2017

UWAKILI WA KIBIBLIA KATIKA KANISA LA LEO.

ad300
Advertisement
MAANA YA UWAKILI WA KIBIBLIA KATIKA KANISA LA LEO:
Ni=Namna gani Mtu Anaweza Kuwa Msimamizi Ktk Kazi Zake Ama Uendeshaji wake Wa Mambo Kwakuzingatia Agizo la Mungu kupitia neno lake(BIBLIA),Je,Anatambua Kama Amewekwa Na Mungu Ktk Dunia Yeye Awe Kama Msimamizitu Wa Mambo na Kazi Za Mungu?!
Kazi za Mungu Ni Zipi!
Na Zako Ni Zipi Kwani?
Kumbuka Mungu Alimuumba Mwanadam Akatawale Kila Kitu Duniani Kirukacho na kitambaacho na Kila Chenye Uhai Cha Mungu  alicho Umba Na Si Mwanadam Alichokifanya.(Mwanzo 1;26).
Je,Leo hii Mwanadamu Anaenenda sawasawa na Kusudio la MUNGU?
Amekuwa Mwaminifu kwa Mungu??
'''Hayo na Mengine Mengi Hembu Twende Pamoja ktk Video hii Tutajua na Mengi zaidi Yanayotufaa kupitia Maandiko Ya MUNGU.
  • ****Na Mungu Akusaidie Kuelewa Mpendwa Wa Mungu.
     https://drive.google.com/file/d/1p4xJzEChDRGgYktL5i6yzIvJTIQ7nW9o/view?usp=sharing
Share This
Previous Post
First

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments:

Unaweza kunipata kwa nambari 0689167646