 |
| Advertisement |
Badae Nitakuja Kuwa..(Mtu Wa Hadhi Fulani) Nifurahie Maisha.
Huo Msemo ni wa Ki Malengo:
Huo ni Wangu,Nina Malengo
Lakini ngoja Niseme Jambo
Wakati Mwingi Watu Hushindwa
Kufikia Malengo


Unajua ni kwanini?
# Leo Nitasema Machache.
Kwanza KUJISAHAU:
Yan Mtu Baada ya Kupanga
Mipango,Akau Ridhia Vema Kweny
Akil yake Na Kusema Na Iwe.
Akisha Fanya Hivyo Huingia Kweny
Mchakato Wa Kusaka,(kutenda) Lakn
Huko Kweny Mchakato Ndiko
Anakutana Na Mambo Mengi
Yanamzonga Hata Kusahau Malengo
Yake,Kwann anasahau Moto
Unashuka,Kule Kujitahd Kunashuka
Hata Jambo jingne likijichomeka Yeye
Kawaida tu Kulishughulikia,Na C
Kusimama Tena Ktk Kusudi (ikatai
kunadharura zngne muhm zaid
zinaeza jichomeka wakat uko kweny
Malengo yako,Nisawa,Lakn Sio Mamb
mengne Yacyo Muhm kama Malengo
yako)
Weng wanasahau purukushan za
hapa na pale ni zipotu,JibaneIla
Wekeza ktk Malengo,
Fanya Malengo Kua Zaidi na c Ziada,
Wengi Moto Unaisha Kama Hamna
Ulazima Unaomskuma Kweny
Malengo Ndio Kabisaa Anapoa.
Inauma Maana Hyo Ni Dalili Ya
Kutofikia Malengo.Malengo ni sehmu
Muhmu Ya Mafanikio.Mwanadam
Mweny Utimamu wa Akili Ni Lazima
Awe/Afanye Maboresho ya
Maendeleo Kwa Maisha yake ya
Baadae(Improvements Of
Development Future) Maana huko
ndiko aelekeapo,
(Naona weng hupambana kutafta hyo
ya Baadae). Wengne Hadi
Wanamsahau Mungu Kwa Ubize wa
Maisha Mazur Ya Baadae,Sasa Maisha
mazuri Yanakua Vipi Kama Hamna
Mungu na Mungu Ndio Amani!
Eti wengne Utaskia Sasa maisha
yenyewe ndio haya kuliko nimkosee
Mungu ngoktu mambo yakiwa mazur
ntaenda Kanisani,Ila kwa sasahv
ntakua namtania Mungu(sababu Kazi
anayofanya Ni Haram saa hyo
,,Hemb fikiri,kwahyo Yeye atumie
njia zake mbovu kutafta malengo na
akisha fanikiwa aje Amkaribishe Sasa
Mungu Kustarehe Sio?,Yani
unampangia Mungu Wakat wa
kukutawala,Au Unamsaidia Mungu
Kukutunza Sio!,Hee! Haya.
Bwana Yesu Anasemaje ktk hlo:
Matayo:6.31
Msisumbuke, basi, mkisema, Tule
nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
Mst.33
Bali utafuteni kwanza ufalme wake,
na haki yake; na hayo yote
mtazidishiwa.
Kumbe Hakuna Haja Ya Kutafuta Mali
kama Hujamtafuta Mungu Kwanza
Maana Mali na Mambo Mazuri ni
Zawadi kutoka Kwake,Ye Anakwambia
Nitafute Kwanza Mimi,Ufalme/
Utawala Wangu Ukutawale Ndio
Utapata Hayo Utakayo,Yeye Ni
Mwenye Rehema Na Baraka
Anakwambia. Hapo ktk Matayo:6.30
Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi
majani ya kondeni , yaliyopo
leo, na kesho hutupwa kalibuni, je!
Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa
imani haba?(Yani Waoga wanaoogopa
Maisha Ya Taabu)
Bac Mcheni Mungu,Ni Sehemu Ya
Kufikia Malengo .
..Nimalize Na Haya juu Ya Malengo
Yako.Usiseme. Naongea Mengi/Eti
Tabu Zima, Nimemuongeza Mungu Ni
sehem Ya Mada.
..Hitimisho:
*Jitahidi Kukumbkakumbka Malengo
Yako.
Hasa Kumbka Umuhm wake
**Ya Ombee Kwa Mungu Kuonyesha
Uko Serius.
***Epuka Kukata Tamaa, Hakuna
Mafanikio Rahisi,
Na Juhudi Izidi Kwako
Biblia Inasema Mkono wenye Bidii
Ndio Utakao Fanikiwa(Mithali)
..Ahsante Na Mungu Akubariki Ktk
Malengo Yako.
..Kumbuka Kuruhusu Ufalme wa
Mungu Kwan ni jambo la Kwanza
(Ndio Msingi wa Ujenzi wa Hayo yote)
.Usiangalie Hali Uliyopo,Mungu
Atatengeneza.
Mungu wa Mbinguni Mwenyewe Ndio
Muwezeshaji,MWANINI,AMEN.
***Siku Njema Mpendwa Wa Mungu
Ktk KRISTO.
Share This
0 comments:
Unaweza kunipata kwa nambari 0689167646