 |
| Advertisement |
Mhubiri:7.20
Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.
..
YESU APEWE SIFA.
Sina Maana ya KuSapoti Maovu,Wala Haimaanishi Kukosea Ni Muhimu,"Hapana"
Ila Niseme Neno La Msingi Sana
#Ni_Juu ya Wanaowahukumugi Watumishi Wa Mungu na Kusema Kwamba Ni Waovu.
..Ndio Wapo Watumish Waovu,Ambao Hawamtumikii Mungu Wa Kweli,(YEHOVA MUNGU ALIYE JUU).
,,,Lakini Hapa Nasema Kwa Watumish wa Kweli Wa MUNGU KWELI.
Sasa Watu Wengi Wamekua Wakiwahukumu Watu hao Walio Mpokea Yesu(Kuanzia Wachungaji,Na Watu wengne Waliomkiri Na Wamemkubali Kua Ndie Alietumwa Na Mungu Kwa Ajili Ya Kuwa Okoa Wanadamu/Masihi/Na Wanaamini Wataokolewa na Kuachana na Dhambi)(Ni Kweli Kabisa)
Wapendwa Hawa Wa Mungu Kwa Jina Lingne Wanaitwa "Walokole"
Leo Hii Hawaishi Kwa Amani,Wamekua Wakisemwa Ni Waovu,
Watu Wengne Huwachukia Na Kuwasengenya.
Wakisema "Mlokole Gani,Yuko Hivi/Vile Mara Hafanyi Kile,Mara Tumemchoka Na Hichi. Jamani!!
Mtu Yupo Duniani Hayupo Mbinguni,Tena Ninyi Wenyewe Ndio Mmekua Jaribu Kwake Maana
Hawaishi Kumtega Na Kuwa Sababu Ya Kukosea Kwake Mtumishi,Licha Ya Maisha Ya Dhambi Yaliotawala Duniani Ambayo Ndio Majaribu Makubwa.
..
Watumish wa Mungu Wanajitahd Kutenda Mema kwa Msaada Wa Mungu,Ila Watu Hawaoni Wao Ni Kuhesabu Makosa tu.
..Sasa Wewe Ni Nani Hata Umhukumu Mtu Wa Mungu?
..Yeye Ndio Anajua Anachokifanya Na Mungu Wake,Na Hukumu Yake Anayo Mungu.
,,Paulo Mtume Alisema,
Kama ningekua natafuta kuwapendeza wanadam nisingekua mtumishi wa Kristo
Galatia 1:10
Ndivyo ilivyo na Watumish wote Wa Mungu,Hata hivyo Hawajatumwa kuwapendza Watu wametumwa kuwaokoa,Kuwaambia Yesu Ni BWANA(Wamwamini Masihi)
Ila wengne Hata Ujumbe wa Mungu kwao ni Chukizo.
..Sasa Usijitaftie Laana.
Epuka Kumnenea Neno Baya Mtu Wa Mungu.
Ww Ikiwa Umeona Hutaki Mambo Ya Kumcha Mungu,Uko Bize Na Dhambi,Usiwe Mwalimu Wa Kumlaumu Mwenzio Nakati Ww Unakosea,
Umesahau Wale Waliokua Wakitaka Kumhukumu Yule Mama Aliefumaniwa kule Galilaya?!
Wakamleta Mbele Ya Yesu Wamuhukumu,Yesu Akawambia Ikiwa Kunamtu Hajawah Tenda Dhambi Awe Wa Kwanza Kumpiga Mawe(maana Sheria ya Wakat ule mtu Akifumwa amezini na Mke/Mume wa Mtu Ni Apigwe mawe Hadi Kufa)(Yoh 8:3-7)
Bac Mwache Mwenzio Ambae Akikosea Anajua Atamlilia Mungu wake Kwani Anatambua Dhambi Ni Uasi Kwa Mungu
na Huwa Hawatendi kwa Makusudia Maana mafundisho Ya Mungu kupitia Kristo yanawaepusha a Kuwaongoza.
Na kua Mtakatifu Sio kwamba Hawatend Dhamb kbsa Bali Roho Wa Mungu Huwasaidia Pia Pale Waangukapo Hutakaswa Kwa Kuomba Toba maana Sio Kusudi Lao.
Luke 17:1
Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!
,,Hii Inamaana Kuna Makosa Ya Kudhamiria/Yakuzoea Ndio Mungu Hapendi Maana Ni Yakukubali mtu mwenyewe kumwasi Mungu Kwa Hiari Yake Na Si Kuteleza.(alafu weng husingizia kuteleza nakati wanadhamiria,ni dhambi)
Ok Kwahyo Usifkirie Kazi Ya Mlokole Au Mchungaji Ni Kuona Anakufanyia Mematu.
Hata Yesu Hakuwa Pendeza Wote Inamaana Hakua Mtakatifu?
,,Petro Nae Alimkana hadi Yesu Mwenyewe(Kwa hofu ya kuuawa na wayahudi)
Lakini baadae alitubu naku Rejea,
Je,Nae Pia Hakua Mlokole?
,,Nawaambia Watu Wa Namna hii,wa kuhukumuhukumu,
Msipo Tubu na kuacha,Yatawaletea Madhara.
Jaribu kufikiri,Mtume Paulo Alietumwa Na Kristo na Si Mwanadam Alipoona Amemnenea Vibaya Annania Kuhani Mkuu(Mchungaji Kiongozi) bila Kujua Alitubu UPESI,(Matendo Ya Mitume 23:5
Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kwamba yeye ni kuhani mkuu. Kwa maana Maandiko yanasema, ‘Usimseme v


ibaya kiongozi wa watu wako.)
..Tubu Leo Ndugu Na Uache Dhambi.
Maana Mungu Mwenyewe Ndie Amekataza Tabia Hyo Ya Kunena Na Kuhukumu Mabaya Unayoyaona Kwa Watumishi.
..Mungu Awabariki.Nawapenda Pia.
Image may contain: one or more people and people standing
Image may contain: 1 person, sitting and shoes
Share This
0 comments:
Unaweza kunipata kwa nambari 0689167646